
DO YOU LOVE ME 05 ACCEPT THE REALITY Ugumu wa maisha ulianza hapa maana hatukuwa na chaguzi tena, kutoka kumsaidia mtu hadi anarudi katika afya yake hadi anakuja kukufukuza kama mtumwa, mwizi ama mtu mwingine mtenda mabaya. This was pain to us lakini hatukuwa na jinsi, tulikubali kuuchukua ukweli ule na kuondoka nyumbani kwake. Safari yetu ilienda kutua hadi Dar es salaam ambako nilifikia nyumbani kwa Mama. Maisha ya Rola yalikuwa chini ya Hussein ambaye alimwamini kwa kila kitu, mipango yake ilianzia kwa huyu mwanaume. Hussein akawa kama Baba na Mama kwake, alimwamini na Husseina akupokea uaminifu kutoka kwa kigoli
No comments:
Post a Comment