
DO YOU LOVE ME 04 (02) LOVE IS BLIND Tulifanikiwa kumpumzisha Mr Taz katika nyumba yake ya milele lakini katika upande huu wa mazishi, Rola hakujihusisha kabisa. Alikuwa akifanya mambo yake, mtu wa kutoka na kuingia pale nyumbani. Watu wote walimshangaa, naye hakujali hivyo. Aliona yupo sahihi kusherehekea kifo cha adui yake. Jioni moja baada ya mazishi kupita ilikuwa kama wiki mbili hivi mbele. Rely alinitaarifu kupatikana kwa Mama yake, tulienda na kumkuta kweli Mama Rely akiwa chizi wa kutema tema mate hovyo. Vile ambavyo Rola alikuwa, ndivyo ambayo na yeye alikuwa hivyo. Mama Rely alikuwa amepungua mwili sio kawaida,
No comments:
Post a Comment