
DO YOU LOVE ME 03 (S2) PAINT PAINTER Niliingia ndani na kumkura Rely ambaye alikuwa akidondosha machozi sio kawaida. Alikuwa hana furaha wala amani ndani ya moyo wake na alionekana kama kuna jambo kubwa limemkuta. Nikashikwa na wasiwasi, nilienda kumuuliza nini ambacho kinamliza? Jibu lake liliniumiza moyo ijapokuwa nilitarajia hili. "Baba amefariki Rahim" vuta picha kauli kama hii inamtoka mwanamke ambaye alikuwa akimpenda na kumchukulia Baba yake kama ndio kila kitu. Yale maumivu yote yahamishe kwa Rely. She was crying like a child akilalamika kwanini Mungu amemtwaa Baba yake mapema vile. Kazi kubwa ilikuwa upande wangu ni kumweka sawa, nilianza
No comments:
Post a Comment