DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)

DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)

DO YOU LOVE ME.... 02 (S2) ACT LIKE A WITCH Asubuhi iliyofuata niliungana na Rely kumsaidia kumtafuta Mama yake kila kona. Tulizunguka maeneo mengi ya Zanzibar bila hata mafanikio yoyote. Wapi amekwenda? Ndio lilikuwa swali linaloumiza ambalo lilituchosha sana. Basi, tulipitia hospital ambako tulimkuta Baba Rely (Mr Taz) akiwa kitandani akipatiwa matibabu. Ule mwili wake wa kutisha kama jumba, sura yake yenye mashavu mazito na makubwa pamoja na mng'ao wake, vyote vilipotea. Mr Taz alionekana kama Kijana wa makamo ambaye ameathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Alikonda na kupoteza mvuto. Rely alimsimulia Baba yake kuhusu kupona kwa Rola. "Namuomba

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...