
DO YOU LOVE ME..... 01 (S2) ???????????????????? LAST FOREVER Maamuzi yake yalikuwa yamesimama hivyo na hakutaka kusikia upande wangu wa pili ambao umebeba hisia nzito dhidi yake. Rola akaniua mbele ya macho, akaniua nyuma ya macho yake. Hakutaka kupokea hisia zangu huku akisisitiza kwamba, nimeshamuoa Rely basi nibakie kwa huyo mtu. "Ulishafanya maamuzi ya kumpenda na kumuoa mwanamke mwingine, kwanini unataka uishi na mimi? Unadhani watanichukuliaje huko nje? Sidhani kama ni sahihi. Hivyo basi, njia rahisi ya mimi na wewe kuishi kwa amani ni kuwa marafiki tu" "Lakini kumbuka upendo wangu kwa Rely ulikuwa wa kulazimishwa. Sikupanga wala sikuwa tayari
No comments:
Post a Comment