Chombezo……………..KIJIJI CHA WAGENI! Mtunzi…………………..Jack Mambo

Chombezo……………..KIJIJI CHA WAGENI! Mtunzi…………………..Jack Mambo

Chombezo……………..KIJIJI CHA WAGENI! Mtunzi…………………..Jack Mambo Whatsapp………………0715919396 Umri…………….……….18+ KUMBUKA GROUP ZINAPOTEA ILA PAGE ZINAISHI,ILI USIKOSE UHONDO WA HADITHI ZANGU INGIA HAPA LIKE PAGE YANGU,HAPO UTAKUWA NA UHAKIKA WA KUSOMA STORY ZANGU KILA SIKU ----???????????? Story za Mambo Sehemu ya 02 Kuona ni kuamini!Aliyeona na aliyesikia hawawezi kuwa na ushahidi sawa mahakamani,lazima aliyeona atapewa uzito kuliko yule aliyesikia tu bila kushuhudia kama macho!Ili uwe shuhuda inabidi ushuhudie,ndiyo maana mtu anasema niliona kwa macho yangu,huo ushahidi unakuwaga mzito kuliko ule wa nilisikia kwa maskio yangu! Basi wana Tegamoyo wakasema kama jini yupo na ameonekana ufukweni kwao,kwanini wasishuhudie nao,pengine watapata hadithi za kusimulia wajukuu

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...