
Chombezo……………..KIJIJI CHA WAGENI! Mtunzi…………………..Jack Mambo Whatsapp………………0715919396 Umri…………….……….18+ KUMBUKA GROUP ZINAPOTEA ILA PAGE ZINAISHI,ILI USIKOSE UHONDO WA HADITHI ZANGU INGIA HAPA LIKE PAGE YANGU,HAPO UTAKUWA NA UHAKIKA WA KUSOMA STORY ZANGU KILA SIKU ----???????????? Story za Mambo Sehemu ya 01 Leo nataka niwape story ya kijiji chetu,kuna story nyingi sana kuhusu kijiji chetu,hadithi nyingi sana zenye kusisimua!Mmmh!Ila kijiji chetu!Acha nigune tu maana mmh! Jambo kubwa zaidi kwenye kijiji chetu bwana ni wageni,aiseeh!Kijiji chetu kinapendwa san asana na wageni,na siyo wageni tu kutoka Dar huko au hapa nchini,kijiji chetu kinapokea wageni kutoka ulaya,eeh!eeeh!Yaani hapa naongelea wazungu sasa,kutoka Marekani huko,Ufaransa,Denmark yaaani daaaah! Eeh
No comments:
Post a Comment