
BUNAIZA:01 Eti ufike kijijini kwetu, halafu usikutane na Sifa za msichana mzuri kijiji chote, msichana mwenye mvuto wa pekee, msichana mwenye kupendwa na watu kwasababu ya uchangamfu, ucheshi na umaarufu wake pale kijijini kwasababu ya kucheza ngoma vizuri sanaaaaa. Msichana mwenye kila aina ya sifa. Wanaume wa kijijini hapo wanachanganyikiwa kwa sifa na uzuri wa msichana huyo. Utasikia sio ngoma tu Bunaiza, mpaka kitandani unazicheza haswaaa. Haya maneno ni kila mwanaume ambaye nimewahi kumpa mwili wangu ba?? utamsikia akisema. Wanaume wanapigana, mimi nishagombaniwa sanaa, mimi nishapiganiwa mno lakini ndiyo nipo kijijini, sijawahi toka nje ya kijiji hiki. Maisha yangu kijijini
No comments:
Post a Comment