
SHANGA TISA EP: 11 FUNDI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ} Songa nayo. Akabakia tu anatikisa kichwa, kisha akajibu kwa shari zadi na kusema, "Si Pengo wako unaye mtamani kimya kimya?". Alafu akabamiza mlango kwa nguvu na kutoka zake nnje. Akamwacha Bahati akijiandaa ili aende rasmi mzigoni! Bahati akafurahia kimoyomoyo, kwani hadi hapo lengo lake lilikuwa limeshatimia. Lengo la kutaka kumpoka Pengo kutoka kwenye himaya ya penzi zito la mama yake. Bahati alifungua kabati, akatoa nguo za kazi, nguo nyepesi na fupi kupita kiasi. Akaziweka juu ya kitanda, kisha akavaa kwanza shanga zake zote tisa. Akasogea mbele ya kioo na
No comments:
Post a Comment