Athari kwa Taifa Ajali ya MV Bukoba ilitangazwa kuwa ni msiba wa kitaifa,

Athari kwa Taifa  Ajali ya MV Bukoba ilitangazwa kuwa ni msiba wa kitaifa,

Athari kwa Taifa Ajali ya MV Bukoba ilitangazwa kuwa ni msiba wa kitaifa, ambapo Rais wa wakati huo, Benjamin Mkapa, alitangaza siku tatu za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti. Kutokana na tukio hilo, serikali iliunda SUMATRA (Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu) ili kushughulikia masuala ya usalama wa vyombo vya usafiri wa majini na nchi kavu. Hata hivyo, licha ya juhudi hizi, ajali za majini zimeendelea kutokea. Baadhi ya ajali kubwa zilizonukia baada ya MV Bukoba ni: •Ajali ya MV Nyamageni (2006) – Iliua watu 50, huku miili sita ikipatikana nchini Uganda. •Ajali ya MV

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...