AIBU YA KUCHELEWA KUOLEWA ILINIFANYA NIKAOLEWA NA JINI ???????? Sehemu ya Tano ( 5 ) *************

AIBU YA KUCHELEWA KUOLEWA ILINIFANYA NIKAOLEWA NA JINI ???????? Sehemu ya Tano  (  5  ) *************

AIBU YA KUCHELEWA KUOLEWA ILINIFANYA NIKAOLEWA NA JINI ???????? Sehemu ya Tano ( 5 ) ************* @Kila Mtu ???????????????????????????????????????????????? Hakuwa mwingine bali ni Penina ,huyu ni rafiki yangu wa toka utoto naweza kumuita best friend maana amekuwa na mimi kwenye nyakati zote.Na ndo mtu pekee ananielewa tena naweza kusema kuliko hata dada zangu, basi Penina alitembea huku akiongea. "Wema unataka kumwambia nini mrembo wangu ,ajaribu kumtafuta ili iweje ?" Aliongea na kukaa pembeni yangu na kunishika kwenye paji la uso kama vile ananipima joto, Wema kuulizwa vile kajibu. "Unauliza amtafute ili iweje kwani hujui akili ya Adam anaweza kusema hivyo

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...