
SITASAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUMSOMESHA MPENZI WANGU ????????. Sehemu ya Kwanza ( 1 ) ************* @Kila Mtu ???????????????????????????????????????????????????????? Ilikuwa ni Tarehe 25 kwenye mwezi wa kumi na Moja kama sijakosea, Mimi na Rafiki Yangu Muba tulikuwa tumesafiri kutoka Morogoro Wilaya Ya kilosa Maeneo Ya Dumila mpaka Mbeya, na Lengo la kwenda Mbeya Ilikuwa ni Mahafari Ya Chuo kikuu Cha Mzumbe kilichopo Mbeya, ilikuwa ni Mahafari ambayo Mpenzi Wangu Frida ambaye huwenda nilimpenda kuliko Nilivyo jipenda Mimi alikuwa anasherehekea kuhitimu masomo Yake Mara baada ya kusomea Shahada Ya Uongozi wa Umma (Bachelor of Public Administration) Kwa Miaka Mitatu. Siyo kwamba Frida
No comments:
Post a Comment