
AIBU YA KUCHELEWA KUOLEWA ILINIFANYA NIKAOLEWA NA JINI ???????? Sehemu ya Tatu ( 3 ) ************* @Kila Mtu ???????????????????????????????????????????????? Taratibu niligeuka na kupiga hatua hadi lilipo gari nikapanda na kuondoka , njia nzima nilikuwa nalia kwa uchungu sana . Kumbu kumbu za matukio yangu na Adam zilijirudia kichwani na kunifanya nizidi kuumia , kwa neema ya Mungu nilifika nyumbani salama na kupitiliza moja kwa moja chumbani kwangu. Sikutaka kuongea na mtu hivyo nikajifungia na kubaki nikilia mwenyewe, nililia na kumuuliza Mungu kwanini ameruhusu niumizwe kila siku.Maana kila mahusiano ninayoingia yanaishia njiani na kuniachia maumivu makali moyoni. Nililia na kulala bila
No comments:
Post a Comment