
1 mpk 3 MOYO WA MJEDA (Am his number one)???? Page Bahari ya simulizi WHATSAPP 0755090082 Sehemu ya 01 Pendo shoga ety mbona ni kama umetuuza, Yani mpaka miguu umechoka, uyo shem Yuko wapi?, Pendo; jamani mariam tumekaribia Yuko apo mbele kidogo, " mmmh ngoja tujikaze ila kama hayopo SEMA mapema nitakuwashia moto hutoamini, huwezi kutuyembeza muda wote kumbe huna bwana apa mjini, hatuwezi kuishi na rafiki asie na bwana usijenkutuibia mabwana zetu buree" Coretha; kabisa mamu, uyu tulimuingiza kwenye kundi letu, Kwa Sheria na akasema zote atazifuata ni miezi Sasa ooh bwana angu, Yuko kwetu ananihudumia Kila kitu, hataki
No comments:
Post a Comment