Kutoka kwa Abuu Qataada Al-Answaarii Radhiyallaahu anhu Amesema kuwa Mtume Swallallaahu aleyhi wasallam aliulizwa

Kutoka kwa Abuu Qataada Al-Answaarii Radhiyallaahu anhu Amesema kuwa Mtume Swallallaahu aleyhi wasallam aliulizwa

Kutoka kwa Abuu Qataada Al-Answaarii Radhiyallaahu anhu Amesema kuwa Mtume Swallallaahu aleyhi wasallam aliulizwa kuhusu Sawmu ya siku ya Arafa akasema “Hufuta madhambi ya mwaka uliopita na unaobakia, Akaulizwa kuhusu Sawmu ya siku ya ‘Ashuuraa akasema “Inafuta madhambi ya mwaka uliopita. Akaulizwa kuhusu Sawmu ya siku za Jumatatu, akasema “Hiyo ni siku niliyozaliwa na siku niliyopewa Unabiy na ni siku niliyoteremshiwa Qur-aan. HADITH Muslim Hii inamaanisha kuwa dhambi ndogo hufutwa kwa sababu ya Sawmu lakini dhambi kubwa hufutwa kwa kutubu tu. Ama kuhusu haki za watu, madeni ni wajibu kurudisha kwa wenye haki, kuhusiana na mdaiwa kusamehewa kunategemea matakwa ya

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...