WIFI KHAA 01 Kelele ya kwanza kwa wifi ake

WIFI KHAA  01  Kelele ya kwanza kwa wifi ake

WIFI KHAA 01 Kelele ya kwanza kwa wifi ake Ni kawaida kwa ndugu na jamaa kupenda kutembeleana hasa kwa wale wanaokaa mjini na asili yao ni kijijini huwa ni kawaida sana kwa ndugu zao kutoka kijijini na kwenda kuwatembelea mjini wakiamini kwamba mjini kuna maisha mazuri kuliko kijijini walikotoka Hili ndilo lililoikuta familia ya Rifath Alhaji ambaye alikuwa ni mkazi kutoka Dodoma yaani mgogo wa asili na alikuwa akiishi Maeneo ya Songea Mjini huku akiwa ameshaoa mke wake mzuri aliyefahamika kwa jina la Latifa mtoto wa mzee Mpango kutoka Lindi mwenyeasili ya Kingindo kabisa. Tuanze kuyaona maisha yao yalivyokuwa Ni

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...