WE KULA TU BINAMU EPISODE 10

WE KULA TU BINAMU  EPISODE 10

WE KULA TU BINAMU EPISODE 10 Basi niliweza kujificha kwenye mbuyu na kuvaa nguo zangu kisha kurejea nyumbani lakini bila kusahau najua binamu yangu kasahau kufuri kulekule kichakani basi tulipokutana nyumbani full kuchekana yaani kila nikimuona nacheka tu nacheka nini sijuwi ila nikuhusu lile tukio la kichakani maana sio kwa zile mbio zake .... Sikuwahi kufikiri kama binamu anakimbia kama husseni bolt yaani leo nimegundua kumbe nyumbani tunaweza kutajilika kupitia mbio za binamu nilianza kumtania na kumuita hussen Bolt yeye akawa ananiita kengele itu yu kwa sababu nilikimbia mtupu huku tai ya chini ikiruka ruka kama kengele ya kanisani duuuuuh

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...