UJUMBE WANGU WA LEO "Usiendelee kuweka makosa yako kichwani kwani uzito wake utaangusha uwezo wako halisi"

UJUMBE WANGU WA LEO "Usiendelee kuweka makosa yako kichwani kwani uzito wake utaangusha uwezo wako halisi"

Ukiwa ni mtu wa kukumbuka matukio uliyoyashindwa kichwani mwako utajikuta unayaamini na kujiona ni mtu wa kushindwa kila siku kwani mwanzo wa kila kitu ni kigumu kabla hakijakubalika, na siku zote haiwezekani kuwa wewe kama unajipambanisha na wengine. Jambo linaloweza kukuangusha ni ramani uliyoiweka katika malengo yako na kutaka kila kitu kiwe kama ulivyopanga katika mawazo yako, kwani siku zote ulichokipanga kinaweza kufanikiwa ama kisifanikiwe kwahiyo ni vyema kujipanga kwa tatizo lolote linaloweza kutokea JAMBO LA MSINGI USIKATE TAMAA.

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...