
JINA LA CHOMBEZO: SITAKI KURUDI NYUMBANI ?Mwandishi: Kelvin Mlowe ?Kwa majina naitwa John wengi hupenda kuniita joooooooh kwanza kabisa kijiji kizima mimi ni handsome boy sijisikii lakini huo ndo ukweli wangu ..... ?Kama hutaki basi mi sipo hapa kukulazimisha ila ndo ivo ..... ? ? ? ?Nilikuwa nimekaa zangu kwa amani, nikinywa uji wa dona nyumbani kwa mama, ghafla mwenyekiti akanipigia simu. ? ?“Rashidi! Tuna mzigo wa dawa , unatakiwa kupelekwa kijiji cha Limbuso. Kijiji cha sita kutoka hapa ni safari ya masaa matano na Ni porini, lakini usiwe na wasiwasi, ni kazi rahisi tu ya siku moja,” alisema kwa
No comments:
Post a Comment