SIMULIZI YA MAMA MDOGO SURA YA 12

SIMULIZI YA MAMA MDOGO SURA YA 12

ENDELEA KUPATA UHONDO WA SIMULIZI KITABU MALIPO NI HAPAHAPA MTUNZI ADELA DALLY KAVISHE ILIPOISHIA....“Mume wangu hii bahasha ndani ina ujumbe kuna msichana ameiletanimpe Jamal nimefungua nikasoma niliyokutana nayo nimeshindwa kuamini macho na akili yangu nimeona nikupe kwanza uisome uone mambo anayofanya mtoto wako.” JE NINI KITAENDELEA USIKOSE SURA YA 12 INAPOENDELEA Jamal alichukua ile barua na kutoa karatasi yenye ujumbe uliosomeka hivi: “Kwako mpenzi Jamal ni matumaini yangu umzima wa afya, vipi unaendeleaje na maisha? Kwa nini umenitupa hivyo? Je, unajua ni kwa kiasi gani niliteseka nilipotoa ile mimba yako? Sawa bwana! Ila mimi bado nakupenda mpenzi wangu. Vipi shule

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...