SIMBA imedhamiria Kimataifa. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kufanya kazi ya nguvu kwa kuwatuma mashushu wake hodari, kuwapeleleza wapinzani wao katika hatua ya Robo ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) klabu ya Al Massr ya Misri

SIMBA imedhamiria Kimataifa. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kufanya kazi ya nguvu kwa kuwatuma mashushu wake hodari, kuwapeleleza wapinzani wao katika hatua ya Robo ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) klabu ya Al Massr ya Misri ?? . Simba inaendelea kuweka mikakati mikubwa ya kuhakikisha inapata Matokeo mazuri Ugenini ili kuja kumaliza mechi nyumbani kwa Mkapa. Mashushu hawa watakuwa katika mstari wa mbele, wakikusanya taarifa muhimu ambayo inaweza kuisaidia timu katika kukabiliana na changamoto za mechi hiyo ya Ugenini. . Mashushu hawa wa Simba, wanaojulikana kwa uhodari na ujuzi wao katika uchunguzi wa michezo, wamepewa jukumu la

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...