
SHANGA TISA. EP: 4 MTUNZI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ} Chumba walicho kichukua kilikuwa ni self contained! Hivyo waliingia bafuni na kujisafisha miilii yao! Pengo akamuhimiza sana Bahati aende haja kubwa kabla ya tendo, then kujisafisha vizuri. "Bwanaee! mimi sisikii haja! "Hata kama husikii, wewe jikakamue tu!" "Pengo, ndo mambo gani hayo?" "Nisikilize bahati, fanya kama ninavyo kuelekeza, maana utanielewa tutakapo rejea chumbani" Bahati alijaribu kufanya hivyo, Ila hakuna kitu kilicho toka. Matokeo yake akajisafisha na kumalizia vizuri kuoga. Akachukua mtandio wake wa dera na kujifunga kiunoni! "Ila, sijui kwanini haupendi kunisikiliza Bahati". "Sasa kama sisikii haja nifanyeje? Mwenyewe
No comments:
Post a Comment