
SHANGA TISA. EP: 1 MTUNZI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ} (Tanga jiji hilo, jamani jamani, jamani, Tanga jiji hilo) huu ni wimbo aina ya mchiriku uliokuwa ukirindima kwenye baa hii ya saizi ya kati. Kwani ilikuwa ikipendelewa sana na watu wenye kipato cha kati na kati katika maisha. Ndani ya baa hii, kwenye meza moja, walionekana kuketi wanamume wawili huku wakiwa na vinywaji vya kulevya mezani. Kadhalika vishungi vya sigareti vilikuwa vimeshikwa kwa kubanwa vyema katikati kabisa ya vidole vyao. Kitu kilicho ashiria hulka ya ulevi kuwavaa vyema wanamume hao wawili. "Pengo, una uhakika na hicho unachokisema?". Aliuliza mwanaume
No comments:
Post a Comment