
RUNGU LA KIPOFU 03 ??. ENDELEA..... Alikimbia mbio na kuwa wa kwanza kumshika mkono na kumtoa barabarani na kama angechelewa kidogo tu basi habari ya juma ingeishia hapo. "Queen naye yaani kipofu kamtoa mbio na kwenda kumsaidia au kadatishwa na mwichi wake?" "Hahahahahaha hiyo lazima hapo kaenda kuokoa mpini na sio kingine namjua mno Queen" Tedy naye alichangia na baada ya mda Queen alimfikisha kipofu walipokuwa wao. "Mbona umemleta hapa!?" "Wewe na wewe kwani huoni kama alitaka kugongwa na gari!?, mwache apumue kidogo, kaka hebu kaa hapa" Queen alimkalisha na kwa makusudi aliugusa mtalimbo wa Juma. "Pole kaka angu kama
No comments:
Post a Comment