PENZI LA MHALIFU 35.

PENZI LA MHALIFU 35.

PENZI LA MHALIFU 35. Baada ya kubaki mimi pamoja na mwanangu Irene niliamua kutafuta dada mwingine wa kazi na kujaribu kuishi maisha ya peke yangu bira ya uwepo wa Cyborg. Sikujua kwa wakati huo Cyborg alikuwa akiishi wapi ila alikuwa akinisumbua kila mara akiniomba msamaha na mimi niliamua kumuwekea ugumu na sikutaka kumsamehe kabisa kuna mda kaka yake alikuwa akinitafuta akijaribu kunisihi niweze kumsamehe mdogo wake lakini sikutaka kumsamehe Cyborg. Siku hiyo nilirudi nyumbani mida ya saa mbili usiku, nilimkuta Cyborg akiwa kakaa huku binti wa kazi niliyemuajiri akiwa pembeni yake. Cyborg aliponiona alinyenyuka na kunifata. "Malaika naomba unisamehe mke

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...