PENZI LA MHALIFU 07.

PENZI LA MHALIFU 07.

PENZI LA MHALIFU 07. Maisha yetu mimi pamoja na Cyborg yalikuwa ya furaha na siku hiyo nikiwa kazini mimi pamoja na asikari wenzangu tuliletewa taarifa na mkuu wetu wa kazi. Tuliambiwa kuna sehemu inayotakiwa twende kwa ajili ya kuwa kamata waharifu, na tuliambiwa tutatumia zaidi ya mwezi mmoja tukiwa huko. Baada ya kupokea taarifa hiyo nikiwa nimekaa na Afande Neema nilimwambia. "Mmmh, Cyborg atakubali kweli kuniruhusu niende kukaa huko zaidi ya mwezi mmoja!?" Niliongea na Afande Neema aliyeamua kuniuliza. "Kwanini akatae huku upo kwenye majukumu yako ya kazi!?" "Anapenda kutiana kila mda, nahisi huo mwezi mmoja kwake utakuwa kama mwaka"

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...