
PENZI LA MHALIFU 05. Siku kadhaa zilipita na kwenye kituo changu cha kazi aliletwa asikari wa kike mpya aliyekuwa akiitwa Neema. Mimi na Askari Neema tulipatana na tulikuwa marafiki. Afande Neema alizipata taarifa zangu za kuolewa na mwanaume aliyewahi kuwa mharifu hapo nyuma. Siku hiyo tukiwa tunapata lunch aliamua kuniuliza pasipo kuogopa. "Afande Angel uliwezaje kuolewa na mtu aliyewahi kuwa mharifu!?" "Ni upendo tu nilionao kwake, ananipa vitu ambavyo mwanaume mwingine hawezi kunipa" nilimjibu na Afande Neema aliamua kuniuliza. "Una maanisha anakutia na kukuu kuna pande zote kwenye kisima chako!?" Aliniuliza na mimi nilimkubalia na kumwaga sifa baadhi za Cyborg
No comments:
Post a Comment