
PENZI LA KICHAWI LA BINTI MASKINI sehemu ya 2 Mjukuu wangu mjukuu wangu hakuna hakuna mtu mkubwa Kama wewe aika aika wanachama wotee mlio fika hapa leo ni siku muhimu sana kwetu siku tuliyo isubiri kwa miaka 20 Sasa hatimaye imefika Wakati Bibi akiendelea kuongea mjuu wake alionekana akitetemeka kwa hofu kubwa huku milio ya viumbe vya ajabu ikisikika kwa sauti Kali kwelikweli maana ulikuwa usiku wa manane siku hiyo ilikuwa nitabu tupu kwa majilani wale wote wasio kuwa wachawi walionekana wa kibeba kuni wengine wakitumika Kama viti vya wakubwa Ilisikika sauti ya Bibi mmoja akisema mjuu wetu mtawala wa
No comments:
Post a Comment