
NITAKUPA USINIROGE (Chombezo) Khwl Story Killer BETTY NA ROLA shoga'ake walikuwa wametulizana kwenye kochi. Mbele kuna tamthilia ya kihidi inaendelea. Lakini sauti ya zile stori zao walizokuwa wanapiga zikaizidi ile ya luninga. Hata hawakujua kinacho endelea ingawa walikuwa wametupia macho na kuitazama. "Mwenzangu hata sikuamini." Hilo aliongea Rola, kichwa chake kakiegesha kwenye mkono wake ulio upande wa juu wa kochi, ule wa kuegamia. "Umkubalie, maana mzee yule anang'ombe kila siku utakuwa unakunywa maziwa bure. Penyewe ni balozi hata michango hutakuwa unadaiwa." Hilo lilijibiwa na Betty, aliye kwenye kochi hilo hilo ambalo ni kubwa. Kajivesha tu khanga, miguu yake iliyo
No comments:
Post a Comment