?NG?ZA YOTE CH?TARAH EP 5

?NG?ZA YOTE CH?TARAH EP 5

?NG?ZA YOTE CH?TARAH EP 5 YOUTUBE-SIMULIZI ARENA SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA Chitara anaamua kwenda kumuangalia ni nani ambae amekuja pale nyumbani kwao kwaajili yake.Hakuwa na ahadi na mtu yoyote ya kukutana na mtu siku hiyo. "Dada mwajuma karibu sana"Alizungumza chitarah baada ya kumuona huyo mgeni wake "Asante nimekuja hapa kwaajili yako"alisema mwajuma Chitara alikumbuka Lile tukio lililotokea mchana wa siku hiyo baina yake na huyo mwajuma.Alijikuta akiwa makini sana kusikiliza ni kitu gani anachotaka kusema mwajuma.Masikio ya chitara yalikuwa yamesimama kumsikiliza mwajuma. SONGA NAYO Mwajuma baada ya kukuona CHITARAH akiwa amezubaa kumuangalia.Aliinuka na kumshika mkono.Kwa macho ya kurembua alikuwa akimuangalia

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...