
BADO NAKUPENDA ???????? Sehemu ya : 1 By Miss Hamida ???????????????????????????????????????????????????????????????????????? Simulizi yetu inakwenda kuanzia Miaka ya nyuma kabisa kabla ya kila mtu hajaanza kumiliki simu, ambapo mtu akikupa shilingi elfu kumi ni kama amekupa laki moja, miaka ambayo hakukua na njia yoyote nzuri ya mawasiliano zaidi ya barua????. Lakini mbali ya vyote ivo bado watu hawakuacha kupendana. Tena wakati huo mapenzi yalinoga sana kuliko hata sasa, likiwemo penzi la Magreth na Simon??. Watu hawa wawili walijua namna ya kuitendea mioyo yao haki. Hawakukubali kuona tofauti zao za kiuchumi zikikikatisha ndoto yao ya kua pamoja. Magreth yeye alitokea kwenye familia
No comments:
Post a Comment