.jpg)
MPENDA NDEFU 20 ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ ENDELEA........ Tulijiandaa na baada ya kumaliza tuliondoka na Aisha aliniambia tuelekee kwanza nyumbani kwao mara moja, sikutaka kukataa maana yeye ndiye aliyekuwa muendeshaji. Tulifika na kukutana na kikao cha familia. "Bora umekuja, aya njoo ukae hapa!" Ilibidi nitoke nje na kumuacha Aisha akiongea na familia yake baada ya kuambiwa na baba yake. Zilipopita dakika 5 Aisha alitoka nje huku akiwa na hasira. "Tuondoke!" "Kuna nini mbona uko hivyo!" "Wazee wananilazimisha niolewe ili niondoke nyumbani!" "Mmmmh! pole shoga!" Aisha hakutaka hata kuitikia pole niliyompa zaidi ya kuingia kwenye gari. Nilipanda na safari ilianza huku muendeshaji
No comments:
Post a Comment