MPENDA NDEFU 17

MPENDA NDEFU 17

MPENDA NDEFU 17 ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ ENDELEA........ "Kwanini umeamua kumfanyia hivyo mmeo!?" "Ongea taratibu atasikia!" Mke wa Boss aliniziba mdomo ili nisiendelee kulopoka kwa nguvu, sikufurahishwa kabisa na kile alichoniambia Mke wa Boss na pale pale nilipata wazo. "Kuna kitu nahitaji unisaidie baby!" "Kitu gani hicho!?" "Na shida na pesa!" "Kiasi gani baby!?" Nilimtajia na Mke wa Boss alikaa kimya kwa mda na baadae aliniambia atanipatia mda wowote ule, moyoni nilifurahi maana nilikuwa na mpango wangu na mimi. Siku iliyofata Mke wa Boss alinipatia kiasi cha pesa nilichomuomba, sikutaka kupoteza mda na palepale niliamua kuondoka kama nipo yaani nilitoroka kabisa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...