.jpg)
MPENDA NDEFU 07 ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ ENDELEA........ Nilifika chumbani kwangu na kuvaa nguo haraka huku mapigo ya moyo yakienda mbio. Kwenye chumba chao nilianza kusikia malumbano ya wao wawili na boss alianza kumpiga mkewe. Haikupita mda nilisikia mlango ukifunguliwa na alikuwa boss aliyetoka chumbani kwake huku akiwa na hasira. "Wewe binti!" "Abee boss!" Niliitikia baada ya boss kuniita kwa hasira. "Unadai kiasi gani!?" Nilimtajia pesa ninayodai na boss alinihesabia na kunipatia. "Kesho rudi nyumbani kwenu nisikuone kwenye nyumba yangu hapa!" Sikutaka hata kumjibu zaidi ya kurudi chumbani, kiukweli kusubiri mpaka siku inayofata nilipaona mbali hivyo mda huo huo nilianza kubaki
No comments:
Post a Comment