MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 30 FINAL Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Mida ya jioni ilipofika Shemeji Nasib alirudi nyumbani na alipopata upenyo aliamua kuniuliza. "Fatuma kile nilichokwambia ulikifanyia kazi!?" "Kwa kiasi chake ila kuna kitu nahitaji kukwambia sizani kama kaka yako alikuambia" "Kitu gani Fatuma!?" "Sio kwa nia mbaya ni kwa nia njema tu, naomba uondoke hapa nyumbani na uende kujitegemea mwenyewe, sihitaji uendelee kuishi hapa" niliongea pasipo kumuangalia usoni. "Ina maana hunipendi kiasi hichi Fatuma!?" "Ivi umeshawaza siku kaka yako akijua kuwa nimeshafanya mapenzi na wewe!? unafikiri ni maamuzi gani atakayoyafanya!?" "Hapana sijawaza bado" "Basi jiongeze wewe ni msomi na

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...