MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 28 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Niliamka na kwenda kuoga na baadae nilitoka chumbani na kumkuta shemeji Nasib akiwa sebleni akitazama Tv, nilimkata jicho pasipo kuongea neno lolote lile na kuelekea jikoni, nilimkuta mfanyakazi wa ndani aliyekuwa amebeba mtoto mgogoni na alikuwa akinitazama kwa macho ya chini chini, niligundua jinsi alivyokuwa akiniangalia hivyo niliamua kumuuliza. "Mbona unaniangalia hivyo!?" "Hapana dada ila tu tabia ya kaka Nasib sio nzuri kabisa!" Mfanyakazi aliongea na kidogo nilishituka kwa kile alichokisema. "Una maana gani!?" "Nilimuona kaka Nasib alivyokuwa akiingia chumbani kwenu na kila kitu kilichokuwa kikiendelea humu chumbani nilikuwa nakisikia, ata

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...