
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 25 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Mida ya jioni ilipofika nilijiandaa kwa ajili ya kwenda kazini, siku hiyo hakukuwa na wagonjwa wengi wa kuwahudumia hivyo mda mwingi niliutumia kulala, nikiwa nimelala nilikuja kuamshwa na Dr wa kiume alikuwa akiitwa Dr David, David aliniambia nimfate ili akanipe maelekezo vizuri ya kazi ninayotakiwa kuifanya. Nilimfata huku nikiwa na uchovu na moja kwa moja tuliingia kwenye chumba chake. "Fatuma kuna kazi natakiwa nikupe" "Haina shida Dr ndiyo majukumu yetu haya" nilimjibu huku nikipiga miayo kutokana na uchovu niliokuwa nao. "Kazi yenyewe sio kubwa ila ni ndogo tu tena ya dekika
No comments:
Post a Comment