MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 04 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Nilimtimua na shemeji Rashidi aliondoka na mimi nilirudi kitandani na kukaa huku nikiendelea kuwaza kile kilichotokea, baadae nilipata wazo na kuanza kukunja nguo zangu. "Siwezi kuendelea kukaa hapa tena sitaweza kumuangalia dada Aisha usoni" niliongea mwenyewe huku nikikunja nguo zangu na kuziweka kwenye begi. Baada ya kumaliza nilienda kuoga na bahati nzuri shemeji Rashidi alitoka na kwenda kazini na kuniacha mimi mwenyewe nyumbani. Baada ya kumaliza kuoga nilivaa nguo na kubeba begi na kuianza safari ya kurudi nyumbani pasipo kumuaga mtu yoyote yule. Nilifika nyumbani na mama alishangaa kuniona maana sikumjulisha

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...