MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??

MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ??

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi….. ENDELEA...... Story kubwa siku hiyo ilikuwa ni mfungwa kutoroka tu, wafungwa wote tulianza kujadili jinsi alivyotoroka mwenzetu na Asha alinisogea karibu yangu na kuniambia kwa sauti ya chini. "Na mimi nikipata nafasi ya kutoroka basi lazima nitoroke!" "Acha kujitafutia matatizo Asha!?" "Kumbuka mwenzako na kifungo cha maisha sio kama wewe!?" Asha aliongea kwa mara nyingine. "Mimi mwenyewe sina tofauti na wewe maana siku nikitoka humu tayari mvi zimeshajaa kichwani, sidhani kama nitaenda kuyafaudu tena maisha ya uraiani" nilizungumza

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...