
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (12) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi….. ENDELEA...... Nilifunika mdomo wangu kwa mshangao na nilimgeuza Asha haraka ili Tabu asiweze kutuona. "Mjegeje Dora!" "Nyamaza" Nilimwambia na Asha alioneka kupagawa baada ya kuuona mtalimbo wa Tabu. Tulikaa kimya na baada ya mda Tabu alimaliza kuoga na kuvaa nguo zake. "Asanteni kwa msaada wenu!" Tabu aliongea na kutaka kusogea pembeni. "Mimi naitwa Asha na huyu anaitwa Dora" Asha kwa kujipendekeza mbele ya Tabu alijitambulisha huku akikenua meno yake, yaani siku hiyo alikuwa kama chizi kiukweli na yote
No comments:
Post a Comment