
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (05) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…. ENDELEA...... Nilitamani kumuuliza zaidi alifanya kosa gani mpaka akafungwa kifungo cha maisha lakini mda haukuwa rafiki kwani Afande aliingia na kutumbia wote tutoke, Nilivaa nguo zangu nakutoka nikiwa nimeongozana na Asha. Monica pamoja na Eliza waliongozana wote kwa pamoja na mpaka wakati wa kula walikuwa wakilishana kama mke na mme. Siku iliyofata kuna uteuzi ulifanyika kwa baadhi ya wafungwa nikiwemo mimi pamoja na Asha wa kwenda kumwagilia bustani iliyokuwa ndani ya uzio wa gereza. Kiupande mwingine ilikuwa ni
No comments:
Post a Comment