Manson ambaye historia yake imejaa kumbukumbu za kuingia jela na kutoka

Manson ambaye historia yake imejaa kumbukumbu za kuingia jela na kutoka

Manson ambaye historia yake imejaa kumbukumbu za kuingia jela na kutoka. Alisifika kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kushawishi. Na hii ndio sababu alikua na vijana wengi waliomfata kila alichosema kama mtume. Lakini usichokijua kuhusu mauaji ya Tate-LaBianca Killings ni kuwa…  Manson na kundi lake wanadaiwa walifanya mauaji yale wakisukumwa na chuki za kikabila. Sasa kama wewe ulidhani ukabila upo kule kwa Wakulima na Wafugaji pekee. Nikwambie tu haya mambo yapo hadi huko uzunguni paliko endelea.  Usiku wa kati ya tarehe 8 na 10, Manson na kundi lake walifanya moja ya matukio mabaya kuwahi kufanywa Marekani. Waliua watu watano wa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...