MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 13...14

MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 13...14

????MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 13...14 ???? Boss akaendelea sasa kutaja namba... Dah yani...???? Kabla ajamaliza namba ya mwisho simu yake ikaita na akapokea simu akawa anaongea mambo ya kibiashara uku anamwambia mume wa zai kwa vitendo akaendelee na kazi kwanza, Mume wa zai akawa anawaza namba ya mama mkwewe au? Mawazo yakawa yamechukua nafasi yake kichwani ila mwishoni akajifaliji na neno moja boss awezi kuoa kwenye familia ya kimaskini, Boss sasa akamaliza kuongea na simu akamtuma mlinzi sio tena mume wa zai na mlinzi akasema, " Barua aitaki watu wengi sana kwa sababu naiacha na kuondoka tu. "

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...