MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 10

MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 10

????MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 10 ???? Aliyekuwa mume wa zai akashika pikipiki vizuri na deleva akaongeza mwendo) Dah yani....???? Deleva anafika devc cona mbele kuna leli sasa TRENI likawa limesimama limefunga njia kukawa akuna chombo cha moto kinachopita, Zoezi lile lilikaa dk 15 mpaka njia inafunguka Kule zai na bwana ake washaondoka zao, Ila wao walienda gongo la mboto wakapita juu kwa juu uku bwana wa zai kashamtamani mama yake mdogo zai, Sasa aliyekuwa mume wa zai anafika na begi la nguo pale kwa mama mdogo wa zai alijuta kwanini alipeleka begi pale mama yake mdogo alimtukana matusi

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...