
Ligi Kuu imeendelea kupiga hatua kubwa katika maendeleo kiasi cha kushika nafasi ya nne kwa ubora barani Afrika kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS). . Hili ni jambo la kujivunia, lakini uwepo wa watu wanaoitwa makomandoo ambao wamekuwa na jukumu la ulinzi kwa timu husika ni tatizo kubwa ambalo halifai. . Tukio la juzi kwamba makomandoo wa timu moja wanadaiwa kuhusika katika kuvuruga na kuathiri kanuni za ligi lina paswa kuwa ishara kwamba, hawa watu hawafai na hawastahili kukumbatiwa na timu hizi mbili. . Kitendo cha kikundi cha watu kuzuia timu
No comments:
Post a Comment