
SIMULIZI : KISURA WA DAMPO?? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemuya 6 na 7 Sasa nikaona nikimbie, miguu nisaidie, maana sikutaka kutoa pesa ambazo nilikuwa naziweka kwaajili ya mwanangu, sasa katika kukimbia na ukilinganisha nilikuwa na mimba, nikaishiwa na nguvu nikiwa kwenye ile barabara ya france corner arusha na kuanguka, sasa kuna gari lilikuja na kuchuna break mbele yangu kisha likasimama, na dereva akashuka akawa ananitukana kwa kutokuwa mwangalifu, ila nilikuwa namsikia ila sikuwa na nguvu, ukilinganisha sikuwa nakula vizuri na nilikuwa na mimba, ndio Yule boss wake ambae alikuwa anamuendesha akashuka, wakati huo hata nguvu za kumuangalia sikuwa
No comments:
Post a Comment