
SIMULIZI : KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 4 Basi hatukukaa sana sero tukatolewa ila wenzangu walipiogwa ila mimi niliachwa na nikamsikia mmoja wa maafande wa kike akisema, “ msimpige huyo ana mimba, ila watu wengine hata kujionea huruma hawajionei, yaan yeye mwenyewe hana hata pa kukaa ila anapanua tu… Sikuwaelewa, ila tukatoka, ila wakati tunatoka kuna kijana alikuwa ni mtangazaji kwenye radio moja, ambae alikuwa anapambana sana kutetea haki za wasiojiweza, anaitwa nuhu suleyman, unaweza kumtafuta istagram ukampata, ni kijana ambae anapambana sana kutetea haki za watu, na alikuwa ni mtangazaji flani hivi bomba
No comments:
Post a Comment