
???????? KIKOBA CHANZO CHA MIMI KULIWA sifuri???? Sehemu ya pili. ???? Lilinishuka sasa nishajua anachomaanisha duu nikubali kweli nachompa bwana angu ndio nitoe kwa wanaume wengine...???? Nikawaza uku mbali akuna anayenijua nikamwambia] " Sawa nimekubali ila Tina usije ukasema kwa mtu yoyote. " Mimi mwenyewe nakuofia wewe ndio maana nimekuja kukwambia uku uku chonde chonde dar kule asijue mtu. " Siwezi kusema. " Sasa sikia hapa si unaona tumekaa anaweza akaja mtu akakuuliza show time shilingi ngapi? Utamjibu 50 sawa. " Show time ndio nini? " Yani bao moja zabibu unakuwa mgeni kwakila jambo jamani. " Sawa. " Na mtu
No comments:
Post a Comment