Historia ya MV Bukoba Meli ya MV Bukoba ilizinduliwa mwaka 1979 na Baba wa Taifa

Historia ya MV Bukoba  Meli ya MV Bukoba ilizinduliwa mwaka 1979 na Baba wa Taifa

Historia ya MV Bukoba Meli ya MV Bukoba ilizinduliwa mwaka 1979 na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ilijengwa na kampuni ya Kibelgiji, ikiwa mojawapo ya vyombo vikubwa vya usafiri majini vilivyokuwa vikihudumu katika Ziwa Victoria. Hata hivyo, tangu ilipoanza kazi, kulikuwepo na madai kuwa meli hiyo ilikuwa na tatizo la uwiano, jambo lililoweza kuchangia ajali yake baadaye.??

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...