Hii vita ya Urusi na Ukraine, aisee, ukitazama kwa jicho la tatu utagundua kuna mambo mengi ya kufurahisha, kushangaza na hata kuchekesha.

Hii vita ya Urusi na Ukraine, aisee, ukitazama kwa jicho la tatu utagundua kuna mambo mengi ya kufurahisha, kushangaza na hata kuchekesha.

Hii vita ya Urusi na Ukraine, aisee, ukitazama kwa jicho la tatu utagundua kuna mambo mengi ya kufurahisha, kushangaza na hata kuchekesha. Ni vita iliyoanza kwa sababu moja, lakini kila kukicha inazidi kupata vionjo vipya kama filamu ya Netflix. Sasa bwana, kwa wale ambao hawajui chanzo halisi cha hii vita, Ukraine ilipata msukumo wa kujiunga na NATO (North Atlantic Treaty Organization), lile jumuia la kijeshi linaloongozwa na Marekani. Hili likawa kosa kubwa sana kwa macho ya Vladimir Putin, rais wa Urusi. "Mnataka kumleta adui yangu kwenye lango langu?" Hivyo ndivyo Putin alivyoona. Ukraine ilikuwa kama mtaa wa kati kati ya

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...